Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Wednesday, 9 August 2017

TUME YA UCHAGUZI YAMJIBU ODINGA

Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Kenya Wafula Chebukati asema watafuatilia madai yaliyotolewa na NASA kupitia kwa mgombea urais wake Raila Odinga kuhusu dosari katika mfumo wa utoaji matokeo.

"Kuna malalamiko mengi kuhusu matokeo yanayoendelea kutangazwa, sisi tume tutayafanya uchunguzi ... Kuna siku 7 za kutangaza matokeo, na leo ni siku ya 2, bado tuna siku 5, kwahiyo kila kitu kitakwenda vizuri"

Amekiri kuwepo kwa tatizo liliukumba mfumo wa kutangazia matokeo lakini akasisitiza kuwa tatizo hilo halina athari yoyote kwenye idadi ya kura,hivyo wameagiza kuletwa kwa fomu namba 34A na 34B kutoka kaunti zote ili kulinganisha matokeo yaliyo kwenye fomu hizo na yale yanayotangazwa huku.

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post