Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Wednesday, 9 August 2017

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM PAUL MAKONDA AMEMWAGIZA KATIBU TAWALA KUPELEKA WATAALAMU WA UCHUNGIZI BUNJU B

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa huo kupeleka wataalamu wa uchunguzi katika soko la Bunju B Wilaya ya Kinondoni kuchunguza matumizi ya shilingi milioni 40 zilizotumika kutengeneza banda la wafanyabiashara pamoja na milioni 16 zilizotumika kutengeneza choo sokoni hapo.
Makonda ametoa maagizo hayo katika mkutano wa hadhara eneo la Soko la Bunju B ambapo amepewa taarifa kwamba fedha hizo zilitumika kufanya ujenzi sokoni hapo jambo ambalo amelitilia shaka.

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post