Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Friday, 11 August 2017

KENYA: MAKUBALIANO YA MATOKEO YA URAIS KENYA BADO KUNA UTATA

Viongozi wa Upinzani  Raila Odinga na mgombea mwenza Kalonzo  Musyoka waondoka katika eneo la Bomas na kufuatiwa na makamu wa rais William Ruto huku rais Kenyatta akikosekana katika eneo hilo lililokuwa limekusanya viongozi na wasimamizi wa uchaguzi kutoka sehemu mbalimbali duniani.

Viongozi hao waliwasili mapema mnamo saa 7 adhuhuri kwaajili ya kushuhudia uwakilishaji wa matokeo ya jumla kama ilivyoahidiwa na IEBC,

Inadaiwa kuwa pande hizo mbili zilimeshindwa kufikia muafaka, baada ya majadiliano ya muda huku wapinzani wakidaiwa kusisitiza kuwa wanahitaji kujiridhisha kupitia kanzi data ya IEBC.

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post