Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Sunday, 6 August 2017

JPM AMKARIBISHA CCM MBUNGE WA CUF



Rais Magufuli amemkaribisha mbunge wa Tanga Mjini Mussa Mbarouk (CUF) kujiunga na CCM na kuondoka kwenye chama alichodai kuwa kina migogoro.
Amesema amegundua kuwa mbunge huyo alikuwa akitafuta mlango wa kuingilia kwenye "jumba kubwa ambalo halina migogoro na linapiga kazi ambalo ni CCM", na kwamba sasa mlango huo huko wazi.

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post