SUDAN KUSINI: Serikali imewaachia huru Wafungwa wa Kisiasa 30 tangu Rais Salva Kiir atangaze mazungumzo ya amani mwezi Mei, 2017.
- Kati ya walioachwa huru yumo Kiongozi wa Dini, Justine Manawila Bilal ambaye alikuwa akituhumiwa kumuunga mkono Kiongozi wa Upinzani na aliyekuwa Makamu wa Rais, Riek Machar.
No comments:
Post a Comment