Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Wednesday, 16 August 2017

MADAI YA FIDIA: Klabu ya African Lyon yaitaka Yanga kuwalipa fidia

Klabu ya African Lyon yaitaka  Yanga kuwalipa fidia baada ya kumsajili golikipa wake Youthe Rostand, raia wa Cameroon kama mbadala wa golikipa wake chaguo la kwanza Deogratius Munish aliyeamua kutafuta fursa ya kusakata kabumbu nje ya mipaka ya Tanzania.

Kwa mujibu wa taarifa ya TFF, African Lyon imepeleka pingamizi kwa vilabu kadhaa vilivyowasajili wachezaji wake 19 akiwemo golikipa huyo wakilalamikia kutaka kulipwa fidia itokanayo na usajili wao.


No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post