LISSU akumbusha makosa aliyowahi kuyafanya rais Magufuli kabla ya kuwa rais, ataka ashtakiwe.
Azungumzia athari za Serikali kuvunja mikataba ya wawekezaji wa nje na kudai kuwa ACACIA inakwenda kufungua kesi na kuidai Serikali fedha nyingi.
Aitake serikali kuwahukumu wote waliopatikana na hatia ya uhaini, hususan wale waliotumbuliwa. "Tunaiomba Serikali iweke hadharani kesi zote,"
Amkosoa rais na serikali yake kukiuka sheria. Adai nchi inaelekea kubaya.
Ataka rais awajibishwe na bunge na aondolewe madarakani na ashtakiwe.
No comments:
Post a Comment