Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Friday, 11 August 2017

MATOKEO YA UCHAGUZI KENYA: Mgombea urais kwa tiketi ya NASA awasili katika ukumbi was BOMAS

MATOKEO YA UCHAGUZI KENYA: Mgombea urais kwa tiketi ya NASA awasili katika ukumbi wa BOMAS, Nairobi tayari kwaajili ya kusikiliza matokeo ya Uchaguzi uliofanyika Agosti 8.

Mara baada ya kutangazwa mshindi, atapewa wasaa wa kuwashukuru Wakenya.

NASA wamekuwa wakipinga matokeo hayo, na mpaka sasa Uhuru Kenyatta ndiye anaye ongoza akifuatiwa na Raila Odinga.


No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post