Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Sunday, 13 August 2017

MWISHO MBAYA:Mwanariadha Usain Bolt ameitimisha vibaya mashindano ya riadha ya Dunia

 Mwanariadha Usain Bolt ambaye ameshiriki mashindano ya dunia jijini London, amehitimisha vibaya mashindano hayo baada ya kukosa ushindi wa kumpa heshima.

Bolt anayetajwa kuwa na kasi kubwa yakukimbia duniani, alitarajiwa kustaafu baada ya mashindano hayo lakini hali imemwendea ndivyo sivyo hata katika mashindano ya kupokezana kijiti kwa timu yake ya Jamaica ambayo  amemshindwa kuiwezesha kufanya vyema baada ya kuumia.

Mwenyewe alitumai kwamba angelimaliza maisha yake ya ukimbiaji kwa kushinda dhahabu mbili lakini ameondoka sasa na nishani ya shaba pekee aliyoishinda kwenye mbio za mita 100 juma lililopita.




No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post