Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Wednesday, 9 August 2017

MUUNGANO WA UPINZANI NASA UMEPINGA YANAYOENDELEA KUTANGAZWA NA IEBC

Muungano wa upinzani Nasa umepinga matokeo yanayotangaza na kusema IEBC imekuwa ikitangaza matokeo bila ya kutoa fomu 34A.

Matokeo yaliyotolewa kufikia sasa yanaonyesha Bw Kenyatta ana kura milioni 7 naye Bw Odinga kura milioni 6 huku wagombea wengine 6 wakiwa chini ya ailimia 1.

Kulikuwa na jumla ya vituo 40,883 vya kupigia kura kote nchini na hadi sasa matokeo ya vituo 36,659 yametangazwa huku kura ambazo zimeharibika zikiongezeka hadi 353,389.

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post