Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Tuesday, 8 August 2017

Shaffih Dauda atangaza kurejea kugombea nafasi ya ujumbe was kamati ya utendaji ya TFF

Mdau wa soka Shaffih Dauda ametangaza kurejea kugombea nafasi ya ujumbe wa kamati ya utendaji ya TFF baada ya awali kutangaza kujitoa kutokana na kuhusishwa na sakata la rushwa.

Dauda amerejea kwenye  kinyang'anyiro hicho baada ya kusafishwa na kamati ya rufaa ya uchaguzi ambayo imemruhusu kuendelea na mchakato, yeye pamoja na wagombea wengine watatu ambao kwa pamoja walikamatwa na kuhojiwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa.

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post