Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Sunday, 6 August 2017

MCHUNGAJI GWAJIMA:NIMEPATA UMEME MEGAWATI 250

"Nimepata Umeme Megawati 250 kutoka Ujerumani kwa ajili ya Taifa letu katika juhudi za kuunga mkono Tanzania ya Viwanda. Nilimtuma Engineer Mkuu wa Ufufuo na Uzima Duniani Eng.Yeconia Bihagaze huko Ujerumani kufanya ufuatiliaji, Umeme huu ni kwa ajili ya Watanzania wote na ujenzi wa uchumi imara wa Tanzania ya Viwanda" - Mchungaji Gwajima

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post