Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Wednesday, 9 August 2017

DODOMA: Mganga wa kienyeji amchinja binti kisha kuchoma kichwa cha binti huyo

[​IMG]
Taarifa zilizotufikia hapa zinaeleza kuwa mama mmoja ambaye ni mganga wa kienyeji (jina halijafahamika)amefanya mauaji ya mtoto wa kike. Tukio hilo limetokea jana maeneo ya Chang'ombe, wilaya Chamwino mkoani Dodoma.

Tukio hilo la kusikitisha limetokana na imani za kishirikina ambapo mganga wa kienyeji amemchinja binti mwenye umri kati ya miaka 12 hadi 16 na kisha akakichoma kichwa cha binti huyo akiamini kuwa ni kafara ya kuwatibu wateja wake waliokuwa wakitibiwa nyumbani kwake.

Kufuatia hali hiyo watu 17 wanashikiliwa na Jeshi la polisi akiwemo mganga huyo pamoja na mume wake.
[​IMG]
CHANZO: JAMII FORUMS

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post