SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AMPONGEZA RAIS WA IRAN KWA KUCHAGULIWA TENA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai leo amemtembelea Rais wa Iran Hassan Rouhani Ikulu nchini Iran na kufanya mazungumzo
Rais wa Iran aliapishwa jana ambapo Spika Ndugai amempongeza kuteuliwa kwake kwa mara ya pili na kumuahidi ushirikiano wa karibu baina ya Bunge la Tanzania na la Iran.
Spika Ndugai alikuwa ni miongoni mwa wageni mashuhuri walioalikwa kushuhudia kuapishwa kwa Rais Rouhani katika sherehe zilizofanyika kwenye Bunge la Iran mjini Tehran.
SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI AMPONGEZA RAIS WA IRAN KWA KUCHAGULIWA TENA
Reviewed by
Unknown
on
August 06, 2017
Rating:
5
No comments:
Post a Comment