Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Thursday, 10 August 2017

MATOKEO YA UCHAGUZI KENYA: John Kerry aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani katika utawala wa Obama amfariji Raila Odinga

MATOKEO YA UCHAGUZI KENYA: John Kerry aliyekuwa waziri wa mambo ya nje wa Marekani katika utawala wa Obama amfariji Raila Odinga:

"Najua namna mtu anavyojisikia anapopoteza...Nilipoteza katika uchaguzi wa Marekani na nilikuwa na sababu nyingi za kulalamikia. Lakini unatakiwa kusonga mbele .

Kerry anaongoza ujumbe wa waangalizi wa uchaguzi nchini humo na baada ya upigaji kura.

Matokeo yanaendelea kusubiriwa kwa hamu ikiwa tayari Uhuru Kenyatta akimuacha mpinzani wake kwa mbali.


No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post