Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Monday, 7 August 2017

LALA SALAMA: Klabu ya Singida United yafanya 'maangamizi' kwa kushusha kifaa hatari kutoka Kaizer Chief ya Afrika Kusini.

LALA SALAMA: Klabu ya Singida United yafanya 'maangamizi' kwa kushusha kifaa hatari kutoka Kaizer Chief ya Afrika Kusini.

Kifaa hicho ni straika wa timu ya Taifa ya Zimbabwe, Michelle Katsavairo ambaye anatajwa kuwa mmoja wa wafungaji wenye shabaha na kasi kubwa dimbani.

Mkali huyo wa kutupia mabao ametua Singida United kwa mkopo mara baada ya makubaliano ya pande mbili kuhusu huduma ya mchezaji huyo.

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post