Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Sunday, 13 August 2017

NGUVU KUPITA KIASI ZINAZOTUMIWA NA POLISI NCHINI KENYA ZASABABISHA MAUAJI

 Inasemekana kuwa, mpaka kufikia sasa watu 11 wameuwawa katika ghasia za baada ya uchaguzi mkuu, ambazo zilianza mara tu baada ya Uhuru Kenyatta kushinda na kutangazwa mshindi kwa muhula wa pili usiku wa kuamkia Jumamosi.

Hata hivyo, Tume ya kutetea haki za binadamu nchini Kenya, imetoa orodha ya waathirika wa ghasia hizo huku ikisema kuwa ni watu 24 ndio ambao wameuwawa katika vurugu hizo zinazohusishwa na uchaguzi huo, huku ikiongeza kuwa polisi wanatumia nguvu kupita kiasi




CHANZO:HABARInetworkingblog

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post