Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Wednesday, 9 August 2017

KISUMU,KENYA: ASKARI POLISI WAMEWATAWANYA KWA MABOMU YA MACHOZI WAFUASI WA RAILA ODINGA

KISUMU, KENYA: Askari Polisi wamewatawanya kwa mabomu ya machozi wafuasi wa Raila Odinga waliokuwa wameanza kuandamana.

- Hata hivyo Waziri wa Mambo wa ndani na ulinzi, Fred Matiang'i amekanusha uvumi huo ulioenea katika mitandao ya kijamii.


No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post