Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Wednesday, 9 August 2017

TAJIRI BILL GATES AMETEMBELEA KIJIJI CHA KICHEBA WILAYANWILAYANI MUHEZA

Tajiri namba moja dunia, Bill Gates ametembelea Kijiji cha Kicheba wilayani Muheza kwa lengo la kujifunza mchakato wa namna ya ugawaji dawa za matende na mabusha unavyofanyika nchini ikiwa ni jitihada za kutokomeza magonjwa yasiyopewa kipaumbele nchini.




No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post