NAIROBI, KENYA: Kiongozi wa Muungano wa Upinzani(NASA), Raila Odinga amefanya mkutano wake wa kwanza wa kisiasa tangu kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi nchini humo.
- Kwenye mkutano wake huo mtaa wa Kibera, Raila amewaambia wafuasi wake wasiende kazini kesho akisema Muungano huo utatangaza hatua watakayochukua Jumanne.
No comments:
Post a Comment