Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Saturday, 15 July 2017

Matokeo ya kidato cha sita 2017 kutangazwa......

Hivi punde waziri wa elimu sayansi na technolojia anatarajia kutangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha sita uliofanyika mwezi wa tano mapema mwaka huu.

Chanzo cha habari hii ni  www.necta.go.tz

UPDATE:

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)
Limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita.

Kupata matokeo,tembelea  http://41.188.136.77/matokeo/

tembelea http://41.188.136.77/matokeo



No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post