Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Wednesday, 19 July 2017

Mchawi anaswa dar kweupe




Mchawi anaswa mchana kweupe dar alikuwa anataka kuruka na ungo katika ya barabara
Katika picha ni Mama Maguta na mumewe katika picha

Mashuhuda wanasema wanamfahamu
Niliongea na shuhuda mmoja ambaye aliomba hifadhi ya jina lake alisema
"Anaitwa Mama maguta 
Mume wake ni mfanyakazi wa voda ana watoto wakubwa tu ni mkazi wa ukonga kivule matembele ya pili
Na iliwah sadikika kuwa aliwah toa kafara watoto wake hiii imejidhihirishaaa wazi kweupe Hana njaaaa ila tamaaaa za Dunia za mponza".

Wananchi wa ukonga banana wakiwa wamemzongo mama anaedaiwa ni mchawi.

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post