Mgodi wa dhahabu wa ACACIA Bulyanhulu ( BGML) ulipo katika Halimashauri ya Msalala Wilaya ya Kahama Mkoa wa Shinyanga, leo Jumatano Julai 26,2017 umelipa Shilingi 460,732,841.08/=. Kwa ajili ya Ushuru wa Halmashauri ya Msalala.
Meneja mkuu wa mgodi huo wa Bulyanhulu Graham Crew amesema kiasi hicho ni asilimia 67 ya malipo ya ushuru kwa ajili ya kipindi cha miezi 6 kuanzia Januali hadi Juni mwaka huu.
QUENTIN LETTS: Starmer's blunder over Boris showed that, under pressure, he
cracks like a walnut
-
QUENTIN LETTS: Kemi Badenoch, leading the interrogation: 'What was that
further information?'
3 minutes ago
No comments:
Post a Comment