Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Wednesday, 26 July 2017

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BUNGE LA TANZANIA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Mhe. Spika amepokea barua kutoka kwa Mhe. Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wananchi (CUF] na Mhe.
Magdalena Sakaya, (MB) Kaimu Katibu Mkuu (CUF) ambapo wamemuarifu kuhusu uamuzi wa Baraza Kuu la Chama hicho kuwafukuza
Wabunge wanane (8) na Madiwani wawili kwa makosa kadhaa ya kinidhamu.

Katika barua hiyo, viongozi hao wamewataja wanachama hao ambao ni Wabunge kuwa ni:-

1. Mhe. Severina Silvanus Mwijage, (MB):
2. Mhe. Saumu Heri Sakala. (MB):
3. Mhe. Salma Mohamed Mwassa, (MB):
4. Mhe. Riziki Shahari Ngwali, (MB):
5. Mhe. Raisa Abdallah Mussa, (MB):
6. Mhe. Miza Bakari Haj, (MB):
7. Mhe. Hadja Salum Ally A-Q
8. Mhe. Halima Alil Mohamed, (M8).



No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post