Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Thursday, 27 July 2017

TUNDU LISSU APATA DHAMANA

Tundu Lissu(Mb) ameachiwa kwa dhamana baada ya Mahakama kutupilia mbali ombi la Mawakili wa Jamhuri waliotaka asipatiwe dhamana.

- Mahakama ya Kisutu ilimtaka Mwanasiasa huyo kuwa na wadhamini wawili ambapo kila mmoja atasaini bondi ya Sh. Milioni 10 pia hataruhusiwa kutoka nje ya mkoa wa Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post