Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Thursday, 20 July 2017

Tundu Lissu akamatwa jioni hii akiwa uwanja wa ndege wa Dar Es Salaam akielekea Kigali

Mbunge wa Singida Mashariki, Waziri Kivuli wa Katiba na Sheria, Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Rais, wa Chama cha  Mawakili Tanganyika  (TLS), Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania na Mwanasheria Mkuu wa Chama cha CHADEMA Mh. Tundu Lissu, 
Amekamatwa jioni hii akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa DAR akielekea Kigali  kwenye mkutano wa marais wa vyama vya mawakili Afrika mashariki.

Amefuatwa na Askari kutoka kwa Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO) na kumwambia aelekee kituo cha Polisi cha kati kwa mahojiano. 



Huu hapa ni ujumbe kauandika.

"council members. i'm at the airport getting ready to fly to Kigali for the EALS Governing council meeting slated for tomorrow.

Persons introducing themselves as Police officers from ZCO's office in Dar have come to arrest me and are taking  me to the Central Police station for interrogation.
Please notify everyone concerned".
 From Lissu's

No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post