Latest News

Comments

tanganyika we speak the truth always

Thursday, 27 July 2017

PAUL MAKONDA AAIGIZA MAAFISA ELIMU 12 WA KATA WASHUSHWE VYEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amemwagiza afisa elimu wa Mkoa wa Dar es salaam kuwashusha vyeo  maafisa elimu wa kata 12 baada ya maafisa hao kushindwa kueleza matumizi ya fedha za posho za madaraka kiasi cha shilingi laki mbili na nusu kila mwezi wanavyozitumia katika kutimiza wajibu wao.

Makonda ametoa maagizo hayo katika mkutano wake na maafisa elimu,  wakuu wa shule za msingi, sekondari na maafisa elimu wa kata.



No comments:

Post a Comment

Recent in Sports

3/MICHEZO/post-grid

Recent Post