"Historia uandikwa mara moja, taifa hili mwaka 61 lilia upya, na leo linaanza nimekusikia Nyakanazi ukisema umeanzisha mapambano ya uchumi na mapambano ya uchumi yana gharama, nami niwaambie wanachi wa mkoa wa tabora, ililetwa sheria ya kuleta mabadiliko ya masuala ya rasilimali za nchi, mh rais
usisikilize kelele, watu wasiotoka maeneo yenye migodi hawajui dhulma wanachi ambao
maeneo yao yana migodi wamefanyiwa" Mh. Bashe
No comments:
Post a Comment